What is your greatest struggle right now? (Tanzania)

Augustine Malija, 27, Auditor

English:

Switching careers. I am intrigued in working as a development practitioner/researcher. Provided the realities of Tanzania’s labour market, little room is left for me to easily become whom I want. One major factor comes into play, high qualifications are needed for entry into the international development field. Most jobs require 4-5 years of development work experience regardless one having either a Master or Bachelor degree. This cuts out those of us who are passionate about development and know what we want before even obtaining our bachelor degrees. In this respect, we are forced to work in jobs we never expected. It’s quite obvious that for me to get there, I’ll have to struggle through improving my education and keep looking for such opportunities.

German:

Ein Karrierewechsel. Ich möchte in der Entwicklungszusammenarbeit/forschung arbeiten. Die Realität auf dem tansanischen Arbeitsmarkt sieht allerdings so aus, dass es nur wenig Raum für mich gibt das zu werden, was ich möchte. Ein Hauptgrund dafür ist, dass eine sehr hohe Qualifizierung gefordert wird, um in das Feld der internationalen Entwicklung einzusteigen. Die meisten Jobs fordern vier bis fünf Jahre Arbeitserfahrung, egal ob man einen Bachelor oder Masterabschluss hat. Das schließt diejenigen von uns aus, die sich für Entwicklung begeistern und wissen, was sie wollen bevor sie einen Bachelorabschluss haben. In dieser Hinsicht sind wir gezwungen Jobs zu machen, die wir nicht erwartet haben. Es ist offensichtlich, dass ich um dorthin zu kommen meine Bildung erweitern und nach Möglichkeiten suchen muss.

Kiswahili:

Kubadilisha kazi. Ninapenda kufanya kazi kama mwanamaendeleo au mtafiti katika maendeleo. Kwa uhalisia wa soko la ajira la Tanzania, uwezekano wa kufanya kazi ninayotaka ni mdogo sana. Sababu moja kubwa inachangia, vigezo vikubwa vinahitajika kupata kazi za maendeleo. Kazi nyingi huhitaji miaka 4-5 ya kazi za maendeleo bila kujali elimu ya stashahada au ya uzamiri. Hii hutuondoa sisi tunaotaka kwa dhati kufanya kazi za maendeleo kabla hata ya kumaliza elimu za stashahada. Hivyo basi, tunalazimika kufanya kazi ambazo hatujawahi tegemea. Ni Dhahiri kuwa ili nifikie lengo langu, nitahitaji kupambana kuboresha elimu yangu na kuendelea kuangalia nafasi kama hizo.

Zur Werkzeugleiste springen