What is your favourite food? (Kenya)


Ryan Nyamu, 24, Chairman of the Kenya UNESCO Youth Forum

English:
My favorite food is chapati with vegetable rice, thick chicken stew and some vegetables to green the food. When I cook myself nobody leaves the table, believe me one plate isn’t enough.

German:
Mein Lieblingsessen ist Chapati mit Gemüsereis und Hühncheneintopf mit Gemüse. Wenn ich selbst koche verlässt niemand den Tisch, glaub mir ein Teller ist nicht genug.

Kiswahili:
Chakula nikipendacho sana ni chapati pamoja na wali ikiwa na mchuzi wa kuku na mboga ya kuongeza latha. Hiki chakula kikipikwa kinatamanisha kiasi cha hakuna atakaye kubali kukiwacha mezani.

Zur Werkzeugleiste springen