What is your job and what do you like about it? (Tanzania)


David Msia, Artist

English:

My name is David Msia, and I’m an artist, as an actor, voice actor, fine artist (drawing and painting), poet, and a beginner photographer. They are a number of things I love about being an artist, the obvious ones are that I meet a lot of new people on daily basis, I convey my opinions more fluently through art, I put smiles on people, and I have fun from when I wake up to when I sleep knowing I’m doing what I heartily love to do, and not so many people are fortunate to say that. But the best part of it is knowing that what I do, shapes my community from a personal level in some way and inspires others to pursue what they love. If I put a smile on one person when handing them a portrait I drew, then I know it was a worthy time and effort put into it. Art gives me control of having a voice, time and income.

German:

Ich heiße David Msia und ich bin Künstler, genauer gesagt Schauspieler, Synchronsprecher, Maler, Poet und angehender Fotograph. Ich liebe eine Reihe an Dingen daran Künstler zu sein. Die offensichtlichen sind, dass ich täglich neue Leute treffe, ich meine Ideen besser durch Kunst übermitteln kann, ich ein Lächeln auf Gesichter zaubere und ich vom Aufstehen bis zum Schlafen gehen Spaß habe, weil ich weiß, dass ich das, was ich tue, von Herzen liebe. Nicht viele Menschen haben das Glück das sagen zu können. Der beste Teil daran ist allerdings zu wissen, dass das, was ich mache, die Gesellschaft auf einer persönlichen Ebene formt und andere inspiriert zu verfolgen, was sie lieben. Wenn ich einer Person ein Portrait überreiche und ihr damit ein Lächeln ins Gesicht zaubere, dann weiß ich dass sich die Zeit und Mühen gelohnt haben. Kunst gibt mir Kontrolle darüber eine Stimme, Zeit und Einkommen zu haben.

Kiswahili :

Naitwa David Msia, na kazi yangu ni sanaa. Nafanya sanaa na uigizaji, uigizaji wa sauti, uchoraji, ushairi na upigaji picha. Ninachopendelea kwenye kazi zangu ni mjumuiko wa vitu vingi, ikiwemo kufahamiana na watu wengi, kuweza kua na fursa ya kutoa maoni yangu kwa kupitia sanaa, kuwa chanzo au chachu ya kutia tabasamu kwa watu wanaonizunguka na kua na mwenye furaha na kupenda kile nifanyacho kuanzia kukicha hadi machweo kwani wapo wengi ambao hawapati fursa hii. Lakini la muhimu zaidi ni kutambua kua sanaa ninayofanya inaumba jamii kuanzia ngazi ya mtu mmoja mmoja kwa namna yake na kuhamasisha wengine basi kujihusisha na vile ambavyo wanavipenda au ndoto zao. Pale ninapompatia mtu tabasamu wakati akipokea mchoro wake huwa nafarijika sana nikijua sikupoteza nguvu wala muda kuandaa. Sanaa inanipa sauti, muda na kipato.

Instagram @officialde_uru , @de_urudraws , @spoetry_ea , @de_uruimages
Facebook David Msia
Twitter @officialde_uru
Website www.deuruart.wordpress.com

 

Zur Werkzeugleiste springen